sw_tn/lam/01/07.md

28 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika siku za mateso yake na kutokuwa na nyumba
"Wakati Yerusalemu inapo kuwa inateswa na haina makazi"
# hazina
"utajiri"
# awali
"wakati uliyo pita" au "kabla ili janga halija tokea"
# Wakati watu wake walipo angukia mikononi mwa adui
Hapa neno "mikononi" la husu jeshi la adui.
# hakuna aliye msaidia
"hakuna msaidizi aliye kuwa naye"
# waliwaona na kucheka maangamizo yake
Hii ina maana kuwa walikuwa na furaha na wakadhihaki Yerusalemu ilipo haribiwa.
# maangamizo yake
"kwasababu aliharibiwa"