# Katika siku za mateso yake na kutokuwa na nyumba "Wakati Yerusalemu inapo kuwa inateswa na haina makazi" # hazina "utajiri" # awali "wakati uliyo pita" au "kabla ili janga halija tokea" # Wakati watu wake walipo angukia mikononi mwa adui Hapa neno "mikononi" la husu jeshi la adui. # hakuna aliye msaidia "hakuna msaidizi aliye kuwa naye" # waliwaona na kucheka maangamizo yake Hii ina maana kuwa walikuwa na furaha na wakadhihaki Yerusalemu ilipo haribiwa. # maangamizo yake "kwasababu aliharibiwa"