sw_tn/lam/01/04.md

28 lines
533 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Barabara za Sayuni zinaomboleza
Mwandishi anaelezea barabara zinazo elekea Sayuni zinaomboleza kama ni mwanadamu
# sherehe iliyo andaliwa
"sherehe Mungu aliyo waambia wa shereheke"
# Malango yake ... Makuhani wake
Neno "yake" na "wake" yaelezea Sayuni.
# katika ugumu
"ana uchungu" au "ana kosa matumaini"
# Maadui wake wamekuwa bwana zake
"Maadui wa Sayuni wana mtawala"
# maadui wake wana fanikiwa
"maadui wake wanakuwa matajiri"
# Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lidhihirisha kwa watu wake katika Agano la Kale.