# Barabara za Sayuni zinaomboleza Mwandishi anaelezea barabara zinazo elekea Sayuni zinaomboleza kama ni mwanadamu # sherehe iliyo andaliwa "sherehe Mungu aliyo waambia wa shereheke" # Malango yake ... Makuhani wake Neno "yake" na "wake" yaelezea Sayuni. # katika ugumu "ana uchungu" au "ana kosa matumaini" # Maadui wake wamekuwa bwana zake "Maadui wa Sayuni wana mtawala" # maadui wake wana fanikiwa "maadui wake wanakuwa matajiri" # Yahweh Hili ni jina la Mungu alilo lidhihirisha kwa watu wake katika Agano la Kale.