sw_tn/jud/01/05.md

36 lines
752 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kauali unganishi
Yuda antoa mifano ya kale ya wale ambao hawakumfuata Bwana.
# Ngpenda kuwakumbusha
"Ninataka ninyi mkumbuke"
# mnajua kila kitu
Yuda hasa anarejea kwenye maandiko ya Musa ambayo wamekwisha kufundishwa. Tafsiri mbadala: "mnayajua maandiko ya Musa."
# Bwana aliwaokoa mara moja watu kutoka nchi ya Misri
"Bwana aliwaokoa Waisraeli hapo zamani kutoka Misri"
# lakini baadaye
"muda ulivyo endelea " au " baada ya jambo fulani kutokea"
# enzi yao wenyewe
"nafasi zao" au "majukumu yaliowekwa kwao"
# wakaacha wakazi yao maalum
"waliacha nafasi zao wenyewe"
# Mungu amewaweka katika vifungo vya milele katika giza
"Mungu amewafunga malaika hawa ndani ya giza"
# siku ile kuu
siku ya mwisho ambayo Mungu huukumu watu wote