sw_tn/jos/21/11.md

24 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Arba alikuwa ni baba wa Anaki
Haya ni maelezo ya nyuma juu ya jina la mtu aliyeuanzisha mji wa Kiriathi Arba.
# Anaki
Hili ni jina la mwanaume
# Nchi ya milima
Hii ni sehemu ya nchi ambayo kiuasilia imeinuka, ni ndogo kuliko mlima
# Maeneo ya malishi
Hii ni sehemu iliyo na majani mengi au mimea inayofaa kwa ajili ya kulishia mifugo au wanyama
# Mashamba ya mji
Maeneo ya nchi yaliyo wazi, mara nyingine huwa imepandwa mazao ambayo ni mali au yameuzunguka mji.
# Vijiji
hizi ni jamii ndogo, mara nyingi ni ndogo kuliko mji