# Arba alikuwa ni baba wa Anaki Haya ni maelezo ya nyuma juu ya jina la mtu aliyeuanzisha mji wa Kiriathi Arba. # Anaki Hili ni jina la mwanaume # Nchi ya milima Hii ni sehemu ya nchi ambayo kiuasilia imeinuka, ni ndogo kuliko mlima # Maeneo ya malishi Hii ni sehemu iliyo na majani mengi au mimea inayofaa kwa ajili ya kulishia mifugo au wanyama # Mashamba ya mji Maeneo ya nchi yaliyo wazi, mara nyingine huwa imepandwa mazao ambayo ni mali au yameuzunguka mji. # Vijiji hizi ni jamii ndogo, mara nyingi ni ndogo kuliko mji