sw_tn/jos/19/38.md

12 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yironi...Migdaleli..Horemu...Bethi Anathi
Haya ni majina ya miji
# Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Nafutali
Nchi na miji ambayo kabila la Nafutali liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu,
# walipewa miji pamoja na vijiji vyake kufuatana na koo zao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao