# Yironi...Migdaleli..Horemu...Bethi Anathi Haya ni majina ya miji # Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Nafutali Nchi na miji ambayo kabila la Nafutali liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu, # walipewa miji pamoja na vijiji vyake kufuatana na koo zao Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao