sw_tn/jos/18/11.md

16 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika kabila la Benyamini, ugawanaji wa nchi ulifanyika kwa kupewa kwa koo zao
Hii inaweza kuelezwa muundo tendaji. "Kila kabila la Benyamini lilipewa kwa kufuata koo zao."
# ati ya wazawa wa Yuda na wazawa wa Yusufu
"kati ya nchi ambayo ni mali ya wazawa wa Yuda na nchi iliyo mali ya wana wa Yusufu."
# Wazawa wa Yusufu
hii inawarejelea kabila la Efraimu na Manase.
# Bethi Aveni
Hili ni jina la mahali/sehemu