# Katika kabila la Benyamini, ugawanaji wa nchi ulifanyika kwa kupewa kwa koo zao Hii inaweza kuelezwa muundo tendaji. "Kila kabila la Benyamini lilipewa kwa kufuata koo zao." # ati ya wazawa wa Yuda na wazawa wa Yusufu "kati ya nchi ambayo ni mali ya wazawa wa Yuda na nchi iliyo mali ya wana wa Yusufu." # Wazawa wa Yusufu hii inawarejelea kabila la Efraimu na Manase. # Bethi Aveni Hili ni jina la mahali/sehemu