sw_tn/jos/18/01.md

8 lines
261 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na waliishinda nchi
Walikuwa wamewashinda watu walioishi katika nchi kabla hawajaweka hema la kukutania.
# yalikuwa bado hayajapewa urithi wao
Nchi ambayo watu watairithi inaongelewa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao wangeupokea kama mali yao ya kudumu.