# na waliishinda nchi Walikuwa wamewashinda watu walioishi katika nchi kabla hawajaweka hema la kukutania. # yalikuwa bado hayajapewa urithi wao Nchi ambayo watu watairithi inaongelewa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao wangeupokea kama mali yao ya kudumu.