sw_tn/jos/07/04.md

20 lines
533 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu wapatao elfu tatu tu kutoka katika jeshi
Hawa ni wanaume walikuwa sehemu ya jeshi. "Watu elfu tatu waliokuwa ni sehemu ya jeshi waliopanda."
# watu elfu tatu.... watu thelathini na sita
wanaume sita..-"3,000 watu ... 36 wanaume"
# mioyo ya watu iliogopa... ujasiri wao uliwatoka
Vifungu hivi viwili vya maneno vina maana sawa na vimeunganishwa ili kutilia mkazo kwamba watu waliogopa sana.
# mioyo ya watu
Kirai hiki kinawarejelea wanajeshi wa Kiisraeli
# ujasiri wao ukawatoka
"hawakuwa na ujasiri tena ndani yao"