# watu wapatao elfu tatu tu kutoka katika jeshi Hawa ni wanaume walikuwa sehemu ya jeshi. "Watu elfu tatu waliokuwa ni sehemu ya jeshi waliopanda." # watu elfu tatu.... watu thelathini na sita wanaume sita..-"3,000 watu ... 36 wanaume" # mioyo ya watu iliogopa... ujasiri wao uliwatoka Vifungu hivi viwili vya maneno vina maana sawa na vimeunganishwa ili kutilia mkazo kwamba watu waliogopa sana. # mioyo ya watu Kirai hiki kinawarejelea wanajeshi wa Kiisraeli # ujasiri wao ukawatoka "hawakuwa na ujasiri tena ndani yao"