sw_tn/jos/04/06.md

20 lines
621 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yoshua anawaambia Waisraeli maana ya fungu la mawe kumi na mawili.
# Maji ya Yordani yalitengwa mbele ya sanduku la Yahweh
Sentesi hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji: "Yahweh aliyatenga maji ya Yordani mbele ya sanduku la agano lake"
# Maji ya Yordani
Mto Yordani
# yalitengwa mbele ya sanduku la Yahweh
Mto Yordani ulizuiliwa na Mungu ili usitiririke kuelekea sanduku la Agano ambalo lilikuwa limebebwa na makuhani.
# maji ya Yordani yalisimamishwa
Maji yaliyotiririka katika Mto Yordani yalikoma mbele ya sanduku ili kwamba kila mtu pamoja na agano lenyewe lisafiri katika nchi kavu.