sw_tn/jos/01/04.md

16 lines
462 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kuzungumza na Yoshua
# Nchi yenu
Neno 'yenu' linarejelea makabila ya Israeli na si Yoshua pekee yake.
# kusimama kinyume chako
Katika mstari wa 5 maneno 'chako' na 'yako' yanamrejelea Yoshua.
# Sitakupungukia wala kukuacha
Maneno 'sitakupungukia' na 'kukuacha' kimsingi yanamaanisha kitu kile kile. Yahwe aliyatumia kwa pamoja ili kukazia na kuonesha kwamba hatayafanya mambo haya. "Nitakuwa pamoja nawe siku zote."