# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kuzungumza na Yoshua # Nchi yenu Neno 'yenu' linarejelea makabila ya Israeli na si Yoshua pekee yake. # kusimama kinyume chako Katika mstari wa 5 maneno 'chako' na 'yako' yanamrejelea Yoshua. # Sitakupungukia wala kukuacha Maneno 'sitakupungukia' na 'kukuacha' kimsingi yanamaanisha kitu kile kile. Yahwe aliyatumia kwa pamoja ili kukazia na kuonesha kwamba hatayafanya mambo haya. "Nitakuwa pamoja nawe siku zote."