sw_tn/job/41/10.md

20 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nani basi awezaye kusimama mbele yake?
"Hakuna yeyote anayeweza kusimama mbele yangu/yake"
# Ni nani kwanza aliyenipa kitu chochote ili kwamba niweze kumlipa?
"Hakuna yeyote ambaye kwanza amenipa kitu fulani, ili kwamba niweze kumlipa.
# Sitanyamaza kimya
"Hakika nitasema"
# miguu ya mamba, wala kuhusu jambo linalohusu nguvu zake
"mguu. Nitazungumza pia juu ya mambo yanayohusu nguvu zake"
# nguvu zake, wala kuhusu umbo lake zuri.
"nguvu. Nitazungumzia pia juu ya umbo lake la neema"