# Ni nani basi awezaye kusimama mbele yake? "Hakuna yeyote anayeweza kusimama mbele yangu/yake" # Ni nani kwanza aliyenipa kitu chochote ili kwamba niweze kumlipa? "Hakuna yeyote ambaye kwanza amenipa kitu fulani, ili kwamba niweze kumlipa. # Sitanyamaza kimya "Hakika nitasema" # miguu ya mamba, wala kuhusu jambo linalohusu nguvu zake "mguu. Nitazungumza pia juu ya mambo yanayohusu nguvu zake" # nguvu zake, wala kuhusu umbo lake zuri. "nguvu. Nitazungumzia pia juu ya umbo lake la neema"