sw_tn/job/40/08.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je waweza kusema kwa hakika kwamba mimi si mwenye haki?
Unasema mimi si mwenye haki"
# je utanihukumu mimi ili useme wewe ni mwenye haki?
Unanihukumu mimi ili wewe uweze kusema kwamba wewe ni mwenye haki."
# mkono kama wa Mungu
"nguvu kama nguvu za Mungu
# Je waweza kutoa kishindo kwa sauti kama yeye?
"Hakika hauna sauti ya nguvu kama ya Mungu, ambaye huileta radi.