# Je waweza kusema kwa hakika kwamba mimi si mwenye haki? Unasema mimi si mwenye haki" # je utanihukumu mimi ili useme wewe ni mwenye haki? Unanihukumu mimi ili wewe uweze kusema kwamba wewe ni mwenye haki." # mkono kama wa Mungu "nguvu kama nguvu za Mungu # Je waweza kutoa kishindo kwa sauti kama yeye? "Hakika hauna sauti ya nguvu kama ya Mungu, ambaye huileta radi.