sw_tn/job/39/16.md

24 lines
505 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huyatendea vibaya
kiambishi 'hu' kinamrejelea mbuni jike
# kazi yake
kazi ile ambayo huifanya wakati wa kulalia mayai na kuwahudumia vifaranga.
# yaweza kupotea bure,
kama watoto watakufa, kazi yake yote itakuwa ni bure
# amemnyima hekima
humfanya asahau hekima
# ufahamu
Angalia ulivyofasiri katika 11:4
# huwacheka...mpanda farasi wake
Ina maana kwamba hucheka kwasababu huenda kwa kasi kulliko farasi. "Hucheka... kwa mpanda farasi wake, kwasababu farasi hawezi kukimbia kwa kama yeye.