# Huyatendea vibaya kiambishi 'hu' kinamrejelea mbuni jike # kazi yake kazi ile ambayo huifanya wakati wa kulalia mayai na kuwahudumia vifaranga. # yaweza kupotea bure, kama watoto watakufa, kazi yake yote itakuwa ni bure # amemnyima hekima humfanya asahau hekima # ufahamu Angalia ulivyofasiri katika 11:4 # huwacheka...mpanda farasi wake Ina maana kwamba hucheka kwasababu huenda kwa kasi kulliko farasi. "Hucheka... kwa mpanda farasi wake, kwasababu farasi hawezi kukimbia kwa kama yeye.