sw_tn/job/38/41.md

28 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# aletaye mawindo
Yahwe anatumia swali hili kukazi kwamba ni yeye aletaye chakula kwa kunguru na ya kwamba Ayubu halijui hilo.
# mawindo
mnyama ambaye kunguru humtafuta na anaweza kumla
# kunguru
ndege aina ya kunguru
# wanapomlilia Mungu
"kumlilia Mungu ili kupata msaada" au " kumlilia Mungu ili awaokoe"
# kutangatanga
"kuzunguka zunguka"
# kwa kukosa chakula
"kwasababu hawana chakula" au "kwa kuwa hawana kitu cha kula"