# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # aletaye mawindo Yahwe anatumia swali hili kukazi kwamba ni yeye aletaye chakula kwa kunguru na ya kwamba Ayubu halijui hilo. # mawindo mnyama ambaye kunguru humtafuta na anaweza kumla # kunguru ndege aina ya kunguru # wanapomlilia Mungu "kumlilia Mungu ili kupata msaada" au " kumlilia Mungu ili awaokoe" # kutangatanga "kuzunguka zunguka" # kwa kukosa chakula "kwasababu hawana chakula" au "kwa kuwa hawana kitu cha kula"