sw_tn/job/38/36.md

28 lines
1016 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# Ni nani ameweka hekima...kushikama kwa pamoja
Yahweh anatumia maswali haya kukazi kwamba Mungu ana utawala juu ya mawingu na kwamba Ayubu hana uwezo huo
# ameweka hekima katika mawingu
'ameyapa mawingu hekima" Yahweh anaelezea mawingu kana kwamba walikuwa ni watu na alikuwa ameyapa hekima ili kwamba yajue kile cha kufanya.
# Nani anaweza kuyahesabu mawingu
Kirai hiki kina maana: "Ni nani awezaye kujua kuwa ni wembamba wa mawingu ni wa namna ganii katika anga"
# viriba
Hivi ni vitu vilivyotengenezwa na watu ili viweze kuhifadhi maji. Yahweh anayarejeleamawingu mazito kama "viriba" kwasababu kwa kuwa yanashikilia maji mengi kama viriba vya maji.
# wakati mavumbi yanapoungana kuwa kitu kigumu
"wakati matope ya mvua yanapoungana kwa pamoja kuwa kipande kimoja." Mvua huyafanay mavumbi makavu yaungane kwa pamoja kama kipande kimoja cha udongo.
# mabonge ya dunia yanaposhikama kwa pamoja
Vipande vya udongo hushikana kwa pamoja"