# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # Ni nani ameweka hekima...kushikama kwa pamoja Yahweh anatumia maswali haya kukazi kwamba Mungu ana utawala juu ya mawingu na kwamba Ayubu hana uwezo huo # ameweka hekima katika mawingu 'ameyapa mawingu hekima" Yahweh anaelezea mawingu kana kwamba walikuwa ni watu na alikuwa ameyapa hekima ili kwamba yajue kile cha kufanya. # Nani anaweza kuyahesabu mawingu Kirai hiki kina maana: "Ni nani awezaye kujua kuwa ni wembamba wa mawingu ni wa namna ganii katika anga" # viriba Hivi ni vitu vilivyotengenezwa na watu ili viweze kuhifadhi maji. Yahweh anayarejeleamawingu mazito kama "viriba" kwasababu kwa kuwa yanashikilia maji mengi kama viriba vya maji. # wakati mavumbi yanapoungana kuwa kitu kigumu "wakati matope ya mvua yanapoungana kwa pamoja kuwa kipande kimoja." Mvua huyafanay mavumbi makavu yaungane kwa pamoja kama kipande kimoja cha udongo. # mabonge ya dunia yanaposhikama kwa pamoja Vipande vya udongo hushikana kwa pamoja"