sw_tn/job/38/04.md

32 lines
825 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Wewe ulikuwa wapi... misingi
Yahweh anaumia swali hili il kutia mkazo kwamba Ayubu hakuwepo wakati Mungu alipoumba dunia, hivyo Ayubu haelewi jinsi Mungu alivyoiumba dunia.
# ilipoitandaza misingi ya dunia
"Nilifanya misingi ya dunia" Yahweh anaelezea jinsi alivyoiumba dunia kana kwamba alikuwa akijenga jengo.
# Niambie
"Niambie jibu"
# kama unao ufahamu zaidi
"unadhani unajua sana"
# ni nani aliyeamuru vipimo vyake
Yahweh anatumia swali hili kutia mkazo kwamba ni yeye anayeamua namna ukubwa wa dunia unavyopaswa kuwa, hivyo ni yeye pekee anayejua jinsi alivyoifanya.
# alivinyosha vipimo juu yake
"aliipima dunia kwa kamba"
# kipimo
kamba ambayo watu waliitumia ili kuhakiki kuwa wanajenga jengo kwa kipimo halisi na kwa muundo sahihi.