sw_tn/job/37/01.md

20 lines
587 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wangu hutetemeka...umeondolewa kutoka katika sehemu yake
Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja ile ile na kutia mkazo wa ukubwa wa hofu yake.
# moyo wangu hutetemeka kwa hili
Neno 'hili' linarejelea dhoruba katika 36:32
# umeondolewa kutoka katika sehemu yake
Mapigo ya moyo wa Elihu yanaongelewa kana kwamba yalikuwa yanaruka nje ya kifua chake.
# kelele za sauti yake, sauti inayotoka katika mdomo wake.
Virai hivi viwili kimsingi vina maana ile ile. Elihu anaiongelea sauti ya radi kana kwamba ni sauti ya Mungu.
# mipaka ya dunia
"sehemu yeyote katika dunia"