# moyo wangu hutetemeka...umeondolewa kutoka katika sehemu yake Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja ile ile na kutia mkazo wa ukubwa wa hofu yake. # moyo wangu hutetemeka kwa hili Neno 'hili' linarejelea dhoruba katika 36:32 # umeondolewa kutoka katika sehemu yake Mapigo ya moyo wa Elihu yanaongelewa kana kwamba yalikuwa yanaruka nje ya kifua chake. # kelele za sauti yake, sauti inayotoka katika mdomo wake. Virai hivi viwili kimsingi vina maana ile ile. Elihu anaiongelea sauti ya radi kana kwamba ni sauti ya Mungu. # mipaka ya dunia "sehemu yeyote katika dunia"