sw_tn/job/34/29.md

16 lines
513 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# Na wakati akaapo kimya, nani aweza kumhukumu kuwa mkosaji?
Elihu anatumia swali kwa ajili ya kumfundisha Ayubu. "Hakuna anayeweza kumkosoa Mungu kama akiamua kukaa kimya"
# Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumjua?
Elihu anatumia swali jingine kwa sababu ile ile. "Hakuna hata mmoja anayeweza kwenda na kumwona kama akiamua kujificha mwenyewe."
# asiwepo mtu wa kuwanasa watu.
Hii inawalinganisha watu watawaua na muwindaji ambaye hunasa nyara zake.