sw_tn/job/34/21.md

12 lines
293 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa macho ya Mungu yako juu ya njia za mtu;
"kwa kuwa Mungu huangalia kila kitu anakifanyacho mtu
# anaziona hatua zake zote
"humwona kila aendako"
# Hakuna giza, wala hakuna weusi mzito
Maneno "weusi mzito" kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na yanatia uzito juu ya neno "giza"