# Kwa kuwa macho ya Mungu yako juu ya njia za mtu; "kwa kuwa Mungu huangalia kila kitu anakifanyacho mtu # anaziona hatua zake zote "humwona kila aendako" # Hakuna giza, wala hakuna weusi mzito Maneno "weusi mzito" kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na yanatia uzito juu ya neno "giza"