sw_tn/job/34/16.md

16 lines
473 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# sasa
Elihu anatumia neno hili ili kuleta usikivu wa kitu fulani muhimu ambacho alikuwa karibu kukisema.
# sikilizeni sauti ya maneno yangu
Hii ina ina maana ile ile na ya sehemu iliyotangulia ya sentensi. "sikiliza kile ninachosema"
# Je yeye anayeichukia haki aweza kutawala? Je mtamhukumu Mungu kuwa ni mwenye makosa, ambaye ni mwenye haki na mwenye nguvu?
"Yeye anayechukia haki hawezi kutegemea kuwa kiongozi juu