# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza # sasa Elihu anatumia neno hili ili kuleta usikivu wa kitu fulani muhimu ambacho alikuwa karibu kukisema. # sikilizeni sauti ya maneno yangu Hii ina ina maana ile ile na ya sehemu iliyotangulia ya sentensi. "sikiliza kile ninachosema" # Je yeye anayeichukia haki aweza kutawala? Je mtamhukumu Mungu kuwa ni mwenye makosa, ambaye ni mwenye haki na mwenye nguvu? "Yeye anayechukia haki hawezi kutegemea kuwa kiongozi juu