sw_tn/job/33/25.md

24 lines
552 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuongea na Ayubu
# kisha
"kama matokeo ya ombi la malaika kwa Mungu"
# mwili wake utakuwa mororo kuliko mwili wa mtoto
"mwili wa mtu mgonjwa utakuwa mpya tena kama mwili wa mtu mdogo"
# atazirudia siku za nguvu za ujana wake.
"atakuwa na nguvu tena"
# auone uso wa Mungu akiwa mwenye furaha
"humwabudu Mungu kwa furaha"
# Mungu atampa mtu ushindi wak
"Mungu atamwokoa mtu" au "Mungu atayafanya mambo ya mtu kuwa sawa" Hii pia yaweza kumaanisha kwamba mtu anatangaza kwa wengine jinsi Mungu alivyomwokoa.