# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuongea na Ayubu # kisha "kama matokeo ya ombi la malaika kwa Mungu" # mwili wake utakuwa mororo kuliko mwili wa mtoto "mwili wa mtu mgonjwa utakuwa mpya tena kama mwili wa mtu mdogo" # atazirudia siku za nguvu za ujana wake. "atakuwa na nguvu tena" # auone uso wa Mungu akiwa mwenye furaha "humwabudu Mungu kwa furaha" # Mungu atampa mtu ushindi wak "Mungu atamwokoa mtu" au "Mungu atayafanya mambo ya mtu kuwa sawa" Hii pia yaweza kumaanisha kwamba mtu anatangaza kwa wengine jinsi Mungu alivyomwokoa.