sw_tn/job/33/16.md

12 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu
# Mungu hufungua masikio ya watu
"ndipo Mungu hufunua mambo kwa watu"
# Mungu huyaokoa maisha ya mwanadamu kutoka katika shimo, na uhai wake dhidi ya kifo.
Maelezo ya haya yanamaanisha kitu kile kile. "Mungu huwakoa watu kutoka katika kaburi na katika kifo."