# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu # Mungu hufungua masikio ya watu "ndipo Mungu hufunua mambo kwa watu" # Mungu huyaokoa maisha ya mwanadamu kutoka katika shimo, na uhai wake dhidi ya kifo. Maelezo ya haya yanamaanisha kitu kile kile. "Mungu huwakoa watu kutoka katika kaburi na katika kifo."