sw_tn/job/33/13.md

24 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu
# Kwanini unashindana naye?
"hatutakiwi hata kujaribu kushindana na Mungu"
# Huwa hahesabu matendo yake yoyote.
"Yeye hawajibiki kutueleza sisi kila kitu anachokifanya"
# Mungu huzungumza mara moja, naam, mara mbili,
"Mungu huzungumza tena na tena kwa njia mbalimbali
# Katika ndoto, katika maono ya usiku,
Maneno haya yanamaanisha kitu kile kile. "ndoto ambayo katika maono ya usiku"
# wakati usingizi mzito unapowapata watu, katika usingizi kitandani
"wakati watu wakiwa wamesinzia kweli kitandani mwao"