# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu # Kwanini unashindana naye? "hatutakiwi hata kujaribu kushindana na Mungu" # Huwa hahesabu matendo yake yoyote. "Yeye hawajibiki kutueleza sisi kila kitu anachokifanya" # Mungu huzungumza mara moja, naam, mara mbili, "Mungu huzungumza tena na tena kwa njia mbalimbali # Katika ndoto, katika maono ya usiku, Maneno haya yanamaanisha kitu kile kile. "ndoto ambayo katika maono ya usiku" # wakati usingizi mzito unapowapata watu, katika usingizi kitandani "wakati watu wakiwa wamesinzia kweli kitandani mwao"