sw_tn/job/33/04.md

12 lines
345 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu
# Roho ya Mungu imeniumba..... imenipatia uhai
mistari hii miwili ina maana moja. Elihu inatia mkazo kwamba Mungu amemfanya yeye na kwa hivyo humpa mamlaka kwa kile anachokisema.
# weka maneno yako katika mpangilio mbele yangu na kisha usimame
"andaa kile utakachokisema na unijibu"