# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu # Roho ya Mungu imeniumba..... imenipatia uhai mistari hii miwili ina maana moja. Elihu inatia mkazo kwamba Mungu amemfanya yeye na kwa hivyo humpa mamlaka kwa kile anachokisema. # weka maneno yako katika mpangilio mbele yangu na kisha usimame "andaa kile utakachokisema na unijibu"