sw_tn/job/31/24.md

12 lines
412 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
# kama ningesema kwa dhahabu safi, 'wewe unanifanya kuwa na tumaini';
Msitari huu una maana sawa na msitari uliotangulia. Kwa pamoja inasisitiza kwamba Ayubu hajategemea mali ili kumletea usalama.
# mkono wangu umepata mali nyingi,
"Nimepata mali nyingi kwa uwezo wangu"