# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli. # kama ningesema kwa dhahabu safi, 'wewe unanifanya kuwa na tumaini'; Msitari huu una maana sawa na msitari uliotangulia. Kwa pamoja inasisitiza kwamba Ayubu hajategemea mali ili kumletea usalama. # mkono wangu umepata mali nyingi, "Nimepata mali nyingi kwa uwezo wangu"