sw_tn/job/31/05.md

16 lines
485 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kuzungumza
# kama nime...
Katika 31:5-40 Ayubu anafafanua hali mbalimbali ambazo angesitahili kupata hukumu ya Mungu. Lakini anajua kuwa si ya kweli na yeye hana hatia.
# nimetembea katika udanganyifu, kama mguu wangu umeharakisha katika uongo
"kufanya kitu cha uongo au kumdanganya mtu kwa makusudi"
# na nipimwe katika vipimo vilivyo sawa
Watu hutumia mizani ili kupima vitu na kutambua uthamani wake. "Mungu na anihukumu kwa uadilifu"