sw_tn/job/30/22.md

12 lines
307 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unaniinu juu kwenye upepo ...unanirusha nyuma na mbele katika dhoruba
Hii inaelezea mateso makuu ambayo Mungu amfanya Ayubu avumilie
# nyumba ya hatima kwa viumbe hai vyote
"nyumba" inawakilisha sehemu ambapo wafu huelekea
# viumbe hai vyote
vitu vyote vilivyo hai kwa sasa lakini vitakufa siku moja