# unaniinu juu kwenye upepo ...unanirusha nyuma na mbele katika dhoruba Hii inaelezea mateso makuu ambayo Mungu amfanya Ayubu avumilie # nyumba ya hatima kwa viumbe hai vyote "nyumba" inawakilisha sehemu ambapo wafu huelekea # viumbe hai vyote vitu vyote vilivyo hai kwa sasa lakini vitakufa siku moja