sw_tn/job/29/17.md

20 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezoa ya jumla
katika mistari ya 18-28 Ayubu anasimulia mambo ambayo alifanya kabla mambo mabaya hajatokea kwake.
# nilivunja taya za ... nilimng'oa mwathirika
" niliwafanya dhalimu waache kuwatesa watu, kam mtu anayevunja taya la mnyama mwitu na kuokoa mhanga kutoka katika meno yake"
# nitakufa katika kiota changu
" nitakufa kwenye nyumba yangu pamoja na familia yangu" au "nitakufa katika usalama wa nyumbani kwangu"
# nitazidisha siku zangu kama mchanga
"nitaishi maisha marefu" au "nitaishi miaka mingi "
# Mizizi yangu ... matawi yangu
Ayubu anaongea juu ya nguvu zake, anasema yeye ni kama mti imara uliomwagiliwa vizuri.